Habari
News
HON. SERUKAMBA WITNESSES THE SIGNING OF THE CONTRACT FOR THE CONSTRUCTION OF SEWAGE TREATMENT DAMS PROJECT MANGA
MHE. SERUKAMBA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI WA MKATABA WA UJENZI WA MABWAWA YA KUTIBU MAJITAKA MANGA
Posted on: Dec 6, 2023 Imetengenezwa: Dec 6, 2023
The Regional Commissioner of Singida Hon. Peter Joseph Serukamba witnessing the signing of the Contract for the Construction of Sewage Treatment Dams between SUWASA and M/S Perntels Company and Nangai Engineering and Contractors Co. (T) LTD (JV.
Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Peter Joseph Serukamba ashuhudia utiaji saini wa Mkataba wa Ujenzi wa Mabwawa ya Kutibu Majitaka Manga kati ya SUWASA na M/S Perntels Company and Nangai Engineering and Contractors Co. (T) LTD (JV).