Habari

News

SUWASA RECEIVED STAKEHOLDER'S VIEWS AND SUGGESTIONS FOR THE RENEWAL OF CUSTOMER SERVICE AGREEMENT

SUWASA IMEPOKEA MAONI NA MAPENDEKEZO YA WADAU KWA AJILI YA KUHUISHA MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA

Posted on: Mar 26, 2025 Imetengenezwa: Mar 26, 2025
Singida Water Supply and Sanitation Authority (SUWASA) has received views and suggestions from Water Stakeholders on SUWASA Services in preparation for the renewal of the Customer Service Agreement.
The contract, which is an agreement between SUWASA, the service provider, and the Customer, the Beneficiary, serves as a guideline for service delivery, to ensure that service quality standards are met in accordance with customer expectations.
This exercise is carried out as part of EWURA's procedure which requires all Water Authorities to renew the contract every 3 years. In addition, SUWASA continues this exercise, also involving all service areas added to SUWASA.

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (SUWASA) imepokea maoni na mapendekezo kutoka kwa Wadau wa Maji juu ya Huduma za SUWASA kwa ajili ya maandalizi ya kuhuisha Mkataba wa Huduma kwa Wateja. 

Mkataba huo ambao ni Makubaliano kati ya SUWASA ambaye ni mtoa huduma na Mteja ambaye ni Mnufaika hutumika kama muongozo wa utoaji wa huduma, ili kuhakikisha viwango vya ubora wa utoaji huduma vinafikiwa kulingana na matarajio ya wateja.

Zoezi hili hufanyika ikiwa ni Utaratibu wa EWURA ambapo huzitaka Mamlaka za Maji zote kuhuisha mkataba huo kila baada ya miaka 3. Aidha SUWASA inaendelea na zoezi hili ikiyahusisha pia maeneo yote ya huduma yaliyoongezwa kwa SUWASA.

Anwani
Address
  • Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida Singida Water Supply and Environmental Sanitation Authority
  • P.O. Box 174,
    Singida.
  • +2552502122, 0800710038
  • info@suwasa.or.tz
Tovuti Mashuhuri
Related Links
Idadi ya Wageni
Visitors Counter
  • Today Leo 33
  • Yesterday Jana 284
  • This Week Wiki hii 1,135
  • This Month Mwezi huu 4,498
  • All Days Siku Zote 298,803
Hakimiliki ©2023 SUWASA. Haki zote zimehifadhiwa.