Matangazo

Announcement

        
Heading Content Attachment
Kichwa cha habari Maelezo Kiambatanisho
LACK OF SERVICE
Singida Water Supply and Sanitation Authority (SUWASA) informs its customers that the problem has occured in the pump at the Utemini borehole.

As a result, water production and distribution has stopped.

Repairs are expected to begin on December 21 to 23, 2023.

The areas that will be affected are Mjini kati, Mwenge, Majengo, Minga and Unyankindi.

SUWASA apologizes for all the inconvenience caused and urges its customers to save water and use it carefully until the service is restored.

Issued by the SUWASA Communications and Public Relations office

20 December 2023

 
Download Attachment
KUKOSEKANA KWA HUDUMA

Mamlaka ya Najisafi na Usafi wa Marazingira Singida (SUWASA) inawafahamisha wateja wake kuwa, kumetokea hitilafu katika pampu kwenye kisima cha Majisafi cha Utemini.

Kutokana na hilo, uzalishaji maji na usambazaji umesimama.

Matengenezo yanatarajiwa kuanza tarehe 21 mpaka 23 Desemba 2023.

Maeneo yatakayoathirika ni Mjini kati, Mwenge, Majengo, Minga na Unyankindi.

SUWASA inaomba radhi kwa usumbufu wote uliojitokeza na inawasihi wateja wake kuhifadhi maji na kutumia kwa uangalifu mpaka huduma itakaporejea.

Imetolewa na ofisi ya Mawasiliano na Uhusiano wa Umma SUWASA

20 Desemba 2023

Pakua Kiambatisho
CHANGES IN WATER METER READING Singida Supply and Sanitation Authority (SUWASA) informs its customers that, from now on, the reading of water meters will start on the 1st - 7th of every month. Due to these changes, water bills will be issued on the 10th of every month. Please cooperate with the meter reader who comes to your home, for meter reading. Download Attachment
MABADILIKO KATIKA USOMAJI WA MITA ZA MAJI

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) inawafahamisha wateja wake kuwa, kuanzia sasa, usomaji wa mita za maji utaanza tarehe 1 - 7 ya kila mwezi.

Kutokana na mabadiliko hayo, bili za maji zitatolewa tarehe 10 ya kila mwezi.

Tafadhali toa ushirikiano kwa msoma mita anayefika nyumbani kwako, kwa ajili ya kusoma mita.

Pakua Kiambatisho
Anwani
Address
  • Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida Singida Water Supply and Environmental Sanitation Authority
  • P.O. Box 174,
    Singida.
  • +2552502122, 0800710038
  • info@suwasa.or.tz
Tovuti Mashuhuri
Related Links
Idadi ya Wageni
Visitors Counter
  • Today Leo 209
  • Yesterday Jana 211
  • This Week Wiki hii 1,027
  • This Month Mwezi huu 4,390
  • All Days Siku Zote 298,695
Hakimiliki ©2023 SUWASA. Haki zote zimehifadhiwa.