Habari
News
SUWASA STAFF VISITS BUWASA
WATUMISHI WA SUWASA WATEMBELEA BUWASA
Posted on: Apr 9, 2025 Imetengenezwa: Apr 9, 2025
Singida Water Supply and Sanitation Authority (SUWASA) staff have arrived at the BUNDA Water Supply and Sanitation Authority (BUWSSA) office for a training visit.
The employees were received by the Managing Director of BUWSSA, Ms. Esther Gilyoma, along with the Authority's staff, and had the opportunity to exchange work experiences with the aim of improving work performance.
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) wamefika katika ofisi za Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira BUNDA (BUWSSA) kwa ajili ya ziara ya mafunzo.
Watumishi hao wamepokelewa na Mkurugenzi Mtendaji wa BUWSSA Bi. Esther Gilyoma pamoja na watumishi wa Mamlaka hiyo na kupata wasaa wa kubadilishana uzoefu kwa lengo la kuboresha utendaji wa kazi.