Habari
News
THE NATIONAL TORCH OF FREEDOM CONGRATULATES SUWASA
MWENGE WA UHURU WA TAIFA WAPONGEZA SUWASA
Posted on: Dec 6, 2023 Imetengenezwa: Dec 6, 2023
Leader of the National Freedom Torch Run Abdalla Shahibu Kaim has congratulated SUWASA for the implementation stage of the Project reached in the Construction Project of Dams for Treating Manga Waste, Worth Tanzanian Shillings 1.7 billion
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndg. Abdalla Shahibu Kaim ameipongeza SUWASA kwa hatua ya utekelezaji wa Mradi iliyofikiwa katika Mraadi wa Ujenzi wa Mabwawa ya Kutibu Majitaka Manga, Wenye thamani ya Shilingi bilioni 1.7.