Habari

News

SUWASA MANAGEMENT HOLDS A MEETING WITH STAFF

MKURUGENZI MTENDAJI WA SUWASA AKAA KIKAO NA WAFANYAKAZI

Posted on: Sep 15, 2025 Imetengenezwa: Sep 15, 2025

The Managing Director of the Singida Water Supply and Sanitation Authority (SUWASA) in a meeting with staff, as part of the regular procedure for such meetings.

In this meeting, the staff received and discussed the Annual Performance Report of the Department and Units, discussed and clarified various operational issues, received suggestions and concerns from the employees, with the aim of improving the institution's performance.

Mkurugenzi mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) akiwa katika kikao na wafanyakazi, ikiwa ni utaratibu wa kawaida wa kukaa vikao hivyo.

Katika kikao hicho watumishi walipokea na kujadili taarifa ya Mwaka ya utendaji wa Idara na Vitengo, kuzijadili na kupata ufafanuzi wa mambo mbalimbali ya kiutendaji, kupokea maoni pamoja na hoja za wafanyakazi, kwa lengo la kuboresha utendaji wa Taasisi

Anwani
Address
  • Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida Singida Water Supply and Environmental Sanitation Authority
  • P.O. Box 174,
    Singida.
  • +2552502122, 0800710038
  • info@suwasa.or.tz
Tovuti Mashuhuri
Related Links
Idadi ya Wageni
Visitors Counter
  • Today Leo 216
  • Yesterday Jana 134
  • This Week Wiki hii 216
  • This Month Mwezi huu 57,850
  • All Days Siku Zote 415,411
Hakimiliki ©2023 SUWASA. Haki zote zimehifadhiwa.