Habari

News

EXECUTIVE DIRECTOR IN A MEETING WITH SUWASA STAFF

MKURUGENZI MTENDAJI KATIKA KIKAO NA WATUMISHI WA SUWASA

Posted on: Sep 19, 2024 Imetengenezwa: Sep 19, 2024
The Managing Director of the Singida Water Supply and Sanitation Authority (SUWASA) Sebastian Warioba in a meeting with the SUWASA staff, which is the procedure for holding such staff meetings, with the aim of identifying the challenges of the staff, consulting and educating each other on the progress of projects and various functions of the institution.

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) Sebastian Warioba akiwa katika kikao na Watumishi wa SUWASA, ikiwa ni utaratibu wa kufanya vikao hivyo vya wafanyakazi, kwa lengo la kutambua changamoto za watumishi, kushauriana na kuelimishana juu ya maendeleo ya Miradi na kazi mbalimbali za taasisi.

Anwani
Address
  • Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida Singida Water Supply and Environmental Sanitation Authority
  • P.O. Box 174,
    Singida.
  • +2552502122, 0800710038
  • info@suwasa.or.tz
Tovuti Mashuhuri
Related Links
Idadi ya Wageni
Visitors Counter
  • Today Leo 22
  • Yesterday Jana 284
  • This Week Wiki hii 1,124
  • This Month Mwezi huu 4,487
  • All Days Siku Zote 298,792
Hakimiliki ©2023 SUWASA. Haki zote zimehifadhiwa.