Habari
News
SUWASA PARTICIPATED IN THE WORK VISIT OF DR. EMMANUEL NCHIMBI
SUWASA YASHIRIKI ZIARA YA KIKAZI YA DKT. EMMANUEL NCHIMBI
Posted on: Jun 6, 2024 Imetengenezwa: Jun 6, 2024
The Singida Water Supply and Sanitation Authority (SUWASA) has participated in the work visit of the Secretary General of CCM Ambassador Dr. Emmanuel Nchimbi to visit the Singida Region and its Councils in the Municipality of Singida, he held a meeting on May 30, 2024 at the Bombadia grounds and listened to the people's concerns. After the meeting Dr. Nchimbi was able to sit with the experts to listen to the citizens and receive their arguments in order to find a solution. In addition, various leaders have thanked Hon. President Dr. Samia Suluhu Hassan for strengthening the water service situation by bringing various projects during the 3 years of his leadership, including the Miji 28 Water Project.
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) imeshiriki katika ziara ya kikazi ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kutembelea Mkoa wa Singida na Halmashauri zake, ambapo katika Manispaa ya Singida, alifanya Mkutano wa wananchi tarehe 30 Mei 2024 katika uwanja wa bombadia na kusikiliza hoja za wananchi.
Baada ya Mkutano huo Dkt. Nchimbi aliweza kukaa na wataalam kusikiliza wananchi na kupokea hoja zao kwa ajili ya kuzipatia utatuzi.
Aidha viongozi mbalimbali wamemshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuimarisha hali ya huduma ya maji kwa kuleta miradi mbalimbali katika kipindi cha Miaka mitatu ya uongozi wake, ukiwemo mradi wa Majisafi wa Miji 28.