Habari

News

SUWASA CAUGHT TWO SUSPECTS FOR WATER METER THEFT

SUWASA IMEWAKAMATA WATUHUMIWA WAWILI WA WIZI WA MITA ZA MAJI

Posted on: Sep 25, 2025 Imetengenezwa: Sep 25, 2025

 

The Singida Water Supply and Sanitation Authority (SUWASA) has caught two suspects involved in the theft of water meters, identified as Faraja Abel and Ayubu Shabani.

The suspects were caught at Minga area, Arusha Road neighborhood, found with one damaged water meter.

SUWASA received information from concerned citizens, in collaboration with the police, they went to the scene and apprehended the suspects.

The suspects have been taken to the main police station in Singida Municipality for further investigation regarding the significant damage to infrastructure.

According to the Water Supply and Sanitation Act of 2019, penalties for damaging water infrastructure include a fine of up to 50 million Tanzanian shillings or imprisonment for up to five years.

SUWASA warns everyone involved in damaging public property to stop immediately, as strict measures will be taken against offenders.

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) imewakamata watuhumiwa 2 wa wizi wa mita za maji, wanaotambulika kwa majina ya Faraja Abel na Ayubu Shabani. Watuhumiwa hao wamekamatwa katika eneo la Minga Mtaa wa Arusha road, wakiwa na Mita moja ya Maji iliyoharibiwa. SUWASA ilipokea taarifa ya kukamatwa kwa watu hao kutoka kwa raia wema na kwa kushirikiana na Jeshi la polisi walifika katika eneo la tukio na kuwakamata. Watuhumiwa hao wamefikishwa katika kituo kikuu cha polisi Singida Manispaa, kwa ajili ya kuendelea na uchunguzi zaidi juu ya uharibifu mkubwa wa miundombinu uliofanyika. Katika Sheria ya Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira ya Mwaka 2019 adhabu ya Makosa ya uharibifu wa miundombinu ya maji ni faini hadi shilingi milioni 50 au kifungo hadi miaka mitano. SUWASA inawatahadharisha wale wote wanaojihusisha uharibifu huu wa Mali za Umma kuacha mara moja kwani hatua kali zitachukuliwa dhidi yao.

Anwani
Address
  • Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida Singida Water Supply and Environmental Sanitation Authority
  • P.O. Box 174,
    Singida.
  • +2552502122, 0800710038
  • info@suwasa.or.tz
Tovuti Mashuhuri
Related Links
Idadi ya Wageni
Visitors Counter
  • Today Leo 52
  • Yesterday Jana 313
  • This Week Wiki hii 366
  • This Month Mwezi huu 3,775
  • All Days Siku Zote 406,053
Hakimiliki ©2023 SUWASA. Haki zote zimehifadhiwa.