Habari
News
MANAGING DIRECTOR OF SUWASA IN A MEETING WITH STAFF
MKURUGENZI MTENDAJI WA SUWASA AKIWA KATIKA KIKAO NA WAFANYAKAZI
Posted on: Apr 22, 2025 Imetengenezwa: Apr 22, 2025
The Managing Director of Singida Water Supply and Sanitation Authority (SUWASA) Sebastian Warioba in a meeting with SUWASA staff, as part of the procedure for holding such staff meetings.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) Sebastian Warioba akiwa katika kikao na Watumishi wa SUWASA, ikiwa ni utaratibu wa kufanya vikao hivyo vya wafanyakazi.