Habari
News
THE LAUNCH OF THE UNYAMBWA WATER PROJECT
UZINDUZI WA MRADI WA MAJI UNYAMBWA
Posted on: Dec 6, 2023 Imetengenezwa: Dec 6, 2023
Singida Regional Commisioner Hon. Peter Joseph Serukamba launched the Unyambwa Water Project in Singida Municipality, The launch was done as SUWASA celebrats the Water week. This project has cost 622 million shillings
Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Peter Joseph Serukamba akizindua mradi wa Majisafi wa Unyambwa uliopo katika Manispaa ya Singida, Uzinduzi huu umefanyika wakati SUWASA ikisherehekea Maadhimisho ya wiki ya Maji. Mradi huu Umegharimu kiasi cha Shilingi Mil 622.