Habari

News

SUWASA RECEIVES AUDITORS FROM THE PRESIDENT'S OFFICE PUBLIC SERVICE COMMISSION

SUWASA IMEPOKEA WAKAGUZI KUTOKA OFISI YA RAIS TUME YA UTUMISHI WA UMMA

Posted on: Sep 25, 2025 Imetengenezwa: Sep 25, 2025

Singida Water Supply and Sanitation Authority (SUWASA) has received auditors from the President’s Office Public Service Commission, who visited SUWASA offices to conduct a performance audit in various administrative areas.

The auditors, led by Chief Auditor Ms. Sheila Dachi, stated that this is a routine audit for the year 2024/2025, aimed at ensuring that public service laws are being followed in daily operations.

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) imepokea Wakaguzi kutoka Ofisi ya Rais Tume ya Utumishi wa Umma ambao wamefika katika ofisi za SUWASA kwa ajili ya ukaguzi wa kiutendaji katika maeneo mbalimbali ya kiutumishi. Wakaguzi hao ambao wameongozwa na Mkaguzi Kiongozi Bi. Sheila Dachi wameeleza kuwa, huu ni Ukaguzi wa kawaida wa Mwaka 2024/2025 ambapo lengo ni kuhakikisha sheria za kiutumishi zinazingatiwa katika utendaji.

Anwani
Address
  • Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida Singida Water Supply and Environmental Sanitation Authority
  • P.O. Box 174,
    Singida.
  • +2552502122, 0800710038
  • info@suwasa.or.tz
Tovuti Mashuhuri
Related Links
Idadi ya Wageni
Visitors Counter
  • Today Leo 53
  • Yesterday Jana 313
  • This Week Wiki hii 366
  • This Month Mwezi huu 3,775
  • All Days Siku Zote 406,054
Hakimiliki ©2023 SUWASA. Haki zote zimehifadhiwa.