Habari
News
THE ADMINISTRATIVE SECRETARY OF SINGIDA REGION VISITS WATER SERVICES IMPROVEMENT PROJECTS
KATIBU TAWALA WA MKOA WA SINGIDA ATEMBELEA MIRADI WA UBORESHAJI HUDUMA YA MAJI
Posted on: Dec 6, 2023 Imetengenezwa: Dec 6, 2023
The Administrative Secretary of Singida Region Dr. Fatuma Mganga, who is also a member of the SUWASA Board, has visited 2 SUWASA projects. Dr Mganga has visited the Manga Water Service Improvement Project implemented by SUWASA in collaboration with the religious organization Direct Aid Society and the Manga Sewage Treatment Dam Construction Project.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida Dkt. Fatuma Mganga ambaye pia ni mjumbe ya Bodi ya SUWASA ametembelea miradi 2 ya SUWASA. Dkt Mganga ametembelea Mradi wa Uboreshaji huduma ya Maji Manga uliotekelezwa na SUWASA Kwa kushirikiana na shirika la dini la Direct Aid Society na Mradi wa Ujenzi wa Mabwawa ya Kutibu Majitaka Manga