Habari
News
VISIT OF SINGIDA COUNCILORS AND BOARD MEMBERS TO SUWASA PROJECT
ZIARA YA MADIWANI WA SINGIDA PAMOJA NA WAJUMBE WA BODI KUTEMBELEA MIRADI YA SUWASA
Posted on: Dec 6, 2023 Imetengenezwa: Dec 6, 2023
The Managing Director of SUWASA Sebastian Warioba talking to the Councilors of Singida Municipality as well as members of the Board Members of SUWASA during a visit to SUWASA Projects. The leaders visited the areas of Miji 28 water project as well as the Sewage Treatment Dam Construction Project at Manga. The goal of the visit is to discuss and identify the various challenges facing citizens, for the improvement of services.
Mkurugenzi wa SUWASA Sebastian Warioba akiongea na Madiwani wa Singida Manispaa pamoja na wajumbe wa Bodi ya SUWASA katika Ziara ya kutembelea Miradi. Viongozi hao walitembelea maeneo ya Mradi wa majisafi wa Miji 28 pamoja na Mradi wa Ujenzi wa Mabwawa ya Kutibu Majitaka, Manga. Lengo la Ziara hiyo ni kujadili na kutambua changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi, kwa uboreshaji wa huduma.