Habari

News

SUWASA PROVIDES ENVIRONMENTAL CONSERVATION EDUCATION AHEAD OF WORLD ENVIRONMENT WEEK CELEBRATIONS

SUWASA IMETOA ELIMU YA UTUNZAJI WA MAZINGIRA KUELEKEA KILELE CHA WIKI YA MAZINGIRA

Posted on: Jun 5, 2025 Imetengenezwa: Jun 5, 2025

SUWASA PROVIDES ENVIRONMENTAL CONSERVATION EDUCATION AHEAD OF WORLD ENVIRONMENT WEEK CELEBRATIONS

As part of the lead-up to the World Environment Week on June 5, 2025, the Singida Urban Water and Sanitation Authority (SUWASA) has conducted an enviromental awareness campaign to the residents living near the Manga Wastewater Treatment Ponds construction project.

The education focused on protecting and preserving the project area by encouraging tree planting, refraining from cutting down existing trees for firewood or charcoal, preventing the entry or grazing of livestock within the project area, and avoiding the disposal of plastic waste, as such actions may negatively affect both the project and the environment at large.

During the meeting, SUWASA Officer Mkami Magesa urged the attending community members, including the Chairman of Manga Hamlet, Mr. Khalidi Athumani, to act as ambassadors and share the information with other residents. The aim is to ensure that all members of the community understand the importance of protecting the environment around the project.

The 2025 World Environment Week will be celebrated nationally in Dodoma Region under the theme:
“Our Environment and the Future Tanzania – Act Now, Control Plastic Use.”

@wizarayamaji
#kaziiendelee

Kuelekea Kilele cha Wiki ya Mazingira Duniani tarehe 5 Juni 2025, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) imetoa elimu juu ya Utunzaji wa Mazingira, kwa wakazi wanaoishi karibu na eneo la Mradi wa Ujenzi wa Mabwawa ya Kutibu Majitaka Manga. Elimu hiyo ilihusu kutunza na kuulinda mradi huo kwa kupanda miti, kutokata miti iliyopo eneo la mradi kwa matumizi ya kuni na kuchoma mkaa, kutoingiza au kupitisha na ulisha mifugo eneo la mradi na kutupa taka aina ya plastiki, kwani kufanya hivyo kutaathiri mradi na Mazingira kwa ujumla. Aidha katika kikao hicho Afisa kutoka SUWASA Mkami Magesa, amewaomba wananchi waliohudhuria kikao hicho akiwemo Mwenyekiti wa Kitongoji cha Manga Khalidi Athumani, kuwa mabalozi wazuri kwa wengine ili kuhakikisha elimu hiyo inamfikia kila mwananchi wa eneo hilo na maeneo mengine, ili kusaidia kulinda mazingira ya mradi huo. Maadhimisho ya Wiki ya Mazingira Duniani yenye Kauli mbiu katika wiki ya ya Mazingira Duniani 2025 ni "Mazingira Yetu na Tanzania ijayo Tuwajibike sasa, Dhibiti Matumizi ya Plastiki" yanatarajiwa kufanyika Kitaifa katika Mkoa wa Dodoma. @wizarayamaji #kaziiendelee
Anwani
Address
  • Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida Singida Water Supply and Environmental Sanitation Authority
  • P.O. Box 174,
    Singida.
  • +2552502122, 0800710038
  • info@suwasa.or.tz
Tovuti Mashuhuri
Related Links
Idadi ya Wageni
Visitors Counter
  • Today Leo 20
  • Yesterday Jana 1,636
  • This Week Wiki hii 2,913
  • This Month Mwezi huu 29,383
  • All Days Siku Zote 341,234
Hakimiliki ©2023 SUWASA. Haki zote zimehifadhiwa.