Habari
News
MINISTER SILAA ASKS THE CITIZENS TO AGREE TO COMPENSATION FOR THE MWANKOKO LAND
WAZIRI SILAA AWATAKA WANANCHI KURIDHIA FIDIA YA ARDHI MWANKOKO
Posted on: Dec 6, 2023 Imetengenezwa: Dec 6, 2023
Minister of Land, Housing and Housing Development Hon. Jerry Silaa has explained that he has followed up and satisfied himself that the Government has followed all the required procedures in the entire compensation exercise and all citizens were compensated according to the valuation of their areas in order to make a way for the project. Silaa has asked the citizens to agree to the land compensation.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa ameeleza kuwa amefuatilia na kujiridhisha kuwa Serikali imefuata taratibu zote zinazotakiwa katika zoezi zima la ufidiaji na wananchi wote walifidiwa kulingana na uthamini wa maeneo yao ili kupisha mradi. Silaa amewataka wananchi hao kuridhia fidia hiyo ya ardhi.