Habari
News
MANAGING DIRECTOR OF SUWASA MEETS SINGIDA REGIONAL FIRE OFFICER
MKURUGENZI MTENDAJI WA SUWASA AKUTANA NA AFISA WA MKOA WA JESHI LA ZIMAMOTO SINGIDA
Posted on: Jun 6, 2024 Imetengenezwa: Jun 6, 2024
The Managing Director of the Singida Water Supply and Sanitation Authority (SUWASA) Sebastian Warioba, has held a meeting with the Singida Reginal Fire Officer (RFO) Devotha Bigawa, as it is the procedure of the Government Institutions to work together. In addition, the two executives have visited the area with the aim of further strengthening the work performance
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) Sebastian Warioba, amekaa kikao na Afisa wa Jeshi la uokoaji na Zimamoto Singida (RFO) Devotha Bigawa, ikiwa ni utaratibu wa Taasisi za Serikali kufanya kazi kwa ushirikiano wa pamoja. Aidha watendaji hao wawili wametembelea Uwandani kwa lengo la kuimarisha zaidi utendaji kazi.