Habari
News
SUWASA STAFF VISIT BABATI WATER AUTHORITY
WATUMISHI WA SUWASA WATEMBELEA MAMLAKA YA MAJI BABATI
Posted on: Jul 18, 2025 Imetengenezwa: Jul 18, 2025
Staff from the Singida Urban Water and Sanitation Authority (SUWASA) visited the Babati Urban Water and Sanitation Authority (BAWASA) as part of a learning and exchange visit.
During the visit, the staff had the opportunity to tour various BAWASA projects. These visits are part of a series of phased training visits for staff, aimed at gaining insight and sharing experiences to improve performance in both authorities.
While on the visit, they were guided by Engineer Rashid Charahani, the Customer Service Manager at BAWASA.
Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira wametembelea Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Babati (BAWASA) ikiwa ni ziara ya Mafunzo.
Watumishi hao wamepata fursa ya kutembelea miradi ya mbalimbali ya BAWASA. Ziara hizi ni mwendelezo wa Ziara za mafunzo kwa awamu kwa watumishi, ambapo lengo ni kuona na kubadilishana uzoefu kwaajili ya kuboresha utendaji ya Mamlaka zote mbili.
Wakiwa katika ziara hiyo, waliongozwa na Mhandisi Rashid Charahani ambaye ni Meneja wa Huduma kwa Wateja BAWASA.