SUWASA PROVIDED EDUCATION ABOUT MANTAINACE OF WATER INFRASTRUCTURE TO UNYANKINDI PRIMARY STUDENTS
SUWASA YATOA ELIMU YA UTUNZAJI MIUNDOMBINU YA MAJI KWA WANAFUNZI SHULE YA MSINGI UNYANKINDI
Posted on: Mar 26, 2025
Imetengenezwa: Mar 26, 2025
Singida Water Supply and Sanitation Authority (SUWASA) has provided education on water infrastructure maintenance at Unyankindi Primary School.
The education provided by SUWASA officials concerned the presentation of various emergency information, the rights and responsibilities of SUWASA customers and SUWASA's responsibilities to customers, where the students received the education well and promised to cooperate and involve parents in providing information and various issues such as leaks and water theft.
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) imetoa elimu juu ya utunzaji wa Miundombinu ya maji katika shule ya Msingi Unyankindi.
Elimu hiyo iliyotolewa na Maafisa wa SUWASA ilihusu uwasilishaji ya taarifa mbalimbali za dharula, haki na wajibu wa Mteja ka SUWASA na Wajibu wa SUWASA kwa Mteja ambapo wanafunzi hao walipokea vizuri elimu hiyo na kuahidi kutoa ushirikiano na kuwashirikisha wazazi katika kutoa taarifa na mbalimbali kama vile mivujo, wizi wa maji.