Habari

News

SUWASA HAS PURCHASED WATER SERVICE EQUIPMENT WORTH 57.9 MILLION TANZANIAN SHILLINGS

SUWASA IMENUNUA VIFAA VYA HUDUMA YA MAJI VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 57.9

Posted on: Sep 15, 2025 Imetengenezwa: Sep 15, 2025

Singida Water Supply and Sanitation Authority (SUWASA) has purchased water service equipment, including pipes with diameters of 3/4", 1", 1.5", 2", and 2.5", along with fittings, worth a total of 57.9 million Tanzanian Shillings from the supplier Metro Water Service Limited.

These items are intended for improving water services in the small towns served by SUWASA, including Puma, Ikungi, Iguguno, Sepuka, and Irisya.

 

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) imenunua vifaa vya huduma ya maji yakiwemo mabomba yenye kipenyo cha 3/4" 1", 1.5", 2", na 2.5" pamoja na viungio vyenye jumla ya thamani ya shilingi milioni 57.9 kutoka kwa Mzabuni Metro Water Service Limited.

Vifaa hivyo ni kwaajili ya uboreshaji wa huduma ya maji katika miji midogo inayohudumiwa na SUWASA ambayo ni Puma, Ikungi, Iguguno, Sepuka na Irisya.

Anwani
Address
  • Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida Singida Water Supply and Environmental Sanitation Authority
  • P.O. Box 174,
    Singida.
  • +2552502122, 0800710038
  • info@suwasa.or.tz
Tovuti Mashuhuri
Related Links
Idadi ya Wageni
Visitors Counter
  • Today Leo 83
  • Yesterday Jana 313
  • This Week Wiki hii 396
  • This Month Mwezi huu 3,805
  • All Days Siku Zote 406,084
Hakimiliki ©2023 SUWASA. Haki zote zimehifadhiwa.