Habari
News
THE NATIONAL FREEDOM TORCH LAUNCH THE SOMOKU WATER PROJECT
MWENGE WA UHURU WA TAIFA WAZINDUA MRADI WA MAJISAFI WA SOMOKU
Posted on: Dec 6, 2023 Imetengenezwa: Dec 6, 2023
Assistant Leader of the National Freedom Torch Run Eng. Emmanuel Chacha launch the Water Service Improvement Project in Singida Municipality, the Somoku Project implemented under the IFF OBA program. The project has a value of Tanzanian shillings. 744 Million.
Kiongozi Msaidizi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Mhandisi Emmanuel Chacha azindua Mradi wa Uboreshaji Huduma ya Maji katika Manispaa ya Singida , Mradi wa Somoku uliotekelezwa kwa utaratibu wa programu ya IFF OBA. Mradi una thamani ya shilingi Mil. 744.