SUWASA GOT A CERTIFICATE OF APPRECIATION AND RELIABILITY FOR THE PAYMENT OF ELECTRICITY BILLS FROM TANESCO
SUWASA YAPATA CHETI CHA UTHAMINI NA UAMINIFU WA ULIPAJI BILI ZA UMEME KUTOKA TANESCO
Posted on: Jun 27, 2024
Imetengenezwa: Jun 27, 2024
Singida Water Supply and Sanitation and Authority (SUWASA) on June 25, 2024 has received a certificate of recognition and appreciation of the reliability of paying electricity bills on time for the year 2023/2024 from TANESCO Singida Electricity Corporation.
Regional Customer Service and Relations Officer Ms. Rehema Mwaipopo handed over the certificate to SUWASA Managing Director Sebastian Warioba when she arrived at the SUWASA offices, accompanied by Public Relations Officer Ibrahim Solo.
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) tarehe 25 Juni 2024 imepokea cheti cha Kutambua na kuthamini uaminifu wa ulipaji bili za Umeme kwa wakati kwa mwaka 2023/2024 kutoka Shirika la Umeme la TANESCO Singida.
Afisa Uhusiano na Huduma kwa Mteja wa Mkoa Bi. Rehema Mwaipopo amekabidhi cheti hicho kwa Mkurugenzi Mtendaji wa SUWASA Sebastian Warioba alipofika katika ofisi za SUWASA, akiongozana na Afisa Uhusiano Ibrahim Solo.