LACK OF SERVICE
KUKOSEKANA KWA HUDUMA
Content | Attachment |
---|---|
Maelezo | Kiambatanisho |
Singida Water Supply and Sanitation Authority (SUWASA) informs its customers that the problem has occured in the pump at the Utemini borehole. As a result, water production and distribution has stopped. Repairs are expected to begin on December 21 to 23, 2023. The areas that will be affected are Mjini kati, Mwenge, Majengo, Minga and Unyankindi. SUWASA apologizes for all the inconvenience caused and urges its customers to save water and use it carefully until the service is restored. Issued by the SUWASA Communications and Public Relations office 20 December 2023 |
Download Attachment |
Mamlaka ya Najisafi na Usafi wa Marazingira Singida (SUWASA) inawafahamisha wateja wake kuwa, kumetokea hitilafu katika pampu kwenye kisima cha Majisafi cha Utemini. Kutokana na hilo, uzalishaji maji na usambazaji umesimama. Matengenezo yanatarajiwa kuanza tarehe 21 mpaka 23 Desemba 2023. Maeneo yatakayoathirika ni Mjini kati, Mwenge, Majengo, Minga na Unyankindi. SUWASA inaomba radhi kwa usumbufu wote uliojitokeza na inawasihi wateja wake kuhifadhi maji na kutumia kwa uangalifu mpaka huduma itakaporejea. Imetolewa na ofisi ya Mawasiliano na Uhusiano wa Umma SUWASA 20 Desemba 2023 |
Pakua Kiambatisho |