CHANGES IN WATER METER READING
MABADILIKO KATIKA USOMAJI WA MITA ZA MAJI
Content | Attachment |
---|---|
Maelezo | Kiambatanisho |
Singida Supply and Sanitation Authority (SUWASA) informs its customers that, from now on, the reading of water meters will start on the 1st - 7th of every month. Due to these changes, water bills will be issued on the 10th of every month. Please cooperate with the meter reader who comes to your home, for meter reading. | Download Attachment |
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) inawafahamisha wateja wake kuwa, kuanzia sasa, usomaji wa mita za maji utaanza tarehe 1 - 7 ya kila mwezi. Kutokana na mabadiliko hayo, bili za maji zitatolewa tarehe 10 ya kila mwezi. Tafadhali toa ushirikiano kwa msoma mita anayefika nyumbani kwako, kwa ajili ya kusoma mita. |
Pakua Kiambatisho |